Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #41
Vinaniuma havina nguvuPole sana white....
Sipati picha vidole vilivyokuwa vyekundu....
Nafikiriaga sana hilo nakosa rahaMawazo yangu yameenda mbali sana ningali nasoma hii kadhia. Nilianza kufikiri na kutafakari siku roho ya binadamu i napoanza kutoka kuwa unakuwa huwezi pata msaada hata kwa mtu yyte ni kila mtu na mola wake.
Cha public hakiko chumbaniNaomba kuuliza choo ni cha public yaani cha ndani lkn ni public Fulani hivi , au ,ulikua master bedroom? Km master bedroom mlango wa nn si unaweka plastic nyepesi ( cjui nimeeleweka)
Aisee noomaUsiombe itokee siku either lift ime fail,umepotea msituni,au umejilock alone halafu hakuna msaada
Hapo ndio utajua nobody cares about yourself unless you!
Hapo sawa,pole sana kwa hili tukio,ila pia pongezi kwa kufanya zoezi ,ningeshangaa km master bedroom umeweka mlango maana kwangu hkn mlango ni pazia tu la plastic MTU naona km kivuliCha public hakiko chumbani
Umekosea mlango wa chooni ni wa Mbao akioga Maji yanaumwagikia na yaonesha ni saipilasi si mninga. Aidha aliposafiri hakuacha mtu na anafagia kwa chelewaNilichogundua ni kwamba kwanza ulisafiri .. Una nyumba..unapenda muvi za mapigano ...hauna time table specific unafanya fanya vitu kichwa chako kitakavyokutuma .... Unapenda kumsumbua mpenzi wako akiwa kazin kutafuta kipato... Una mlango wa chuma ... Taulo lako jeupe na linakubana bana sana una sinki mama ... Unapenda mziki wa baila .... Lakini kubwa kuliko yote [emoji24] huon aibu kukaa uchi
Hahaha ni sawa uache funguo za akiba ndani ya nyumba ,ukipoteza ulizo nazo huwezi kuingia ndani ya NYUMBAMama Sabrina
Mimi nilikuwa nasubiri kuona umeandika "nikaamka, kumbe ilikuwa ndoto mbaya tu"
Sasa mlango gani huo unajifungia kutoka ndani?
Juzi nilikuwa naangalia TV, kunamama kamfungia mtoto kwenye gari, ikabidi aite polisi wamsaidie kuvunja dirishana kumtoa mtoto, nikasema mimi garilangu siwezi kufunga milango mpaka niwe na funguo zangu nje.
Na milango ya nyumba ya ndani yote ukijifungia ndani maana yake huwezi kutoka na funguo unazo.
Wangefanya milango yote unafunga na funguo, ukiufunga kwa ndani unazo funguo, ukifunga kwa nje unazofunguo, kimbembe ukipoteza funguo. N ahapounatakiwauwe na funguo za akiba sehemu.
Zote zimeishaa hapa nasubiri niangalie movie nikanywe bia mbili za buki
Pole sana white....Vinaniuma havina nguvu
Unaonyesha laini sana...hujakutana na shurba zakufanya, shughuli zakutoa jasho(kama kukata kuni),Wewe zaidi ya ile ufanyayo kwa bed hakuna nyingine yakukutoa jasho.Pole lakini siku nyingine ikitokea niite nami nitasikia nitakuja kukuvika taulo mway.Sina hamu na kila kitu hapa ,,ni hivi nilikuwa nafanya usafi chumbani kwangu na kupanga kila kitu ila kuondoa vumbi nimemaliza nikawa nafanya usafi nyumba yote sasa hapo nawaza nikaangalie movie (mission impossible fallout)
nikamaliza kila kitu kikawa mahala pale,kuja kuangalia muda nikawa nimechelewa hiyo movie nikaona kuna muda mwingine ambayo ni saa 1 jioni hii nikasema fresh haina shida ntaenda muda huo ,G wangu akapiga simu tukaanza kuongea weeee tukajipa break maana yupo kazini, si nikasema niende kuoga nimeingia hivi nikaubamiza mlango nikaendelea kuoga ...
Kasheshe likaanza nataka nifungue mlango mamamaweee mlango haufunguki ,vuta vuta wapiiii nikaanza kuuvuta kwa chini hakuna ,,nikashika kitasa nikavuta wapii, nikaona nitoe taulo nitupe pembeni nikaona linanibana ,nimehangaika nyie niko peke yangu nyumba nzima mlango wa sebuleni nimeufunga kwa ndani,,nikawaza sasa hapa hata nikichungulia kwenye dirisha la bafuni nikaita mtu atapitaje wakati sebuleni kule nimefunga mlango ,nikakaa kwenye sinki nimekaa machozi kama yanataka kunitoka maana nimefanya vyote havijanisaidia ,,nikawaza jamani nani sasa atanisaidia simu zipo chumbani tena nimeacha zinalia muziki wa baila ,jamani nikainuka tena nikaanza kuvuta kitasa (nikaanza kupatia picha kama kwenye movie mtu akibomoa mlango)nikapiga teke wapii kumbuka hapo nipo uchi huku narusha mateke kuupiga mlango lakin holaaa.,
Nikajisemea alieniambia nije kuoga nanii jamani au uchawi huu,,kumbuka hapo nishaubamiza mlango kwa mateke na kuusukuma kwa nguvu ,kuvuta kitasa kikang'oka nikasema leo ni leo !!!!!!!![emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] hiii nikaweka taulo chini nikalikalia kabisa nikaanza kuwafikiria watu ninaowajua wangekuwa karibu wangenisaidia ,nimepata tabu leo ,
Nikasema sasa hapa nimeng'oa kitasa nafanyaje sasa nikanyanyuka tena piga teke ,sukuma ,bamiza mpaka mwili ukatoa jasho baadae nikaona nichukue kile kitasa pale pa kushikia nikapageuza ili nianze kung'oa kiubao kilikuwa kimeshikiwa pale kwenye eneo la kitasa bahati nzuri nikaweza kuving'oa baadhi nikaanza kuchokonoa mlango ukafunguka nikapumuua kwa nguvuu nikajimwagia maji halaf nikatoka ,sina hamu nako kabisa nimejilaza hapa nasubiria ifike saa 12 na nusu niondoke zangu nikazurure mall ...
Hapa mwili unanitetemeka ,vidole vimekosa nguvu ,miguu imechoka yaan nimefanya zoezi kwa lazima..
Basi bana ndio tabu ilonikuta muda si mrefu jamani hebu patia picha usingefunguka ingekuwaje G yupo mbali ningefanyaje majirani wasingenisikia kabisa labda wapita njia ambao siwafahamu
Jioni njema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu mna vtukooNilichogundua ni kwamba kwanza ulisafiri .. Una nyumba..unapenda muvi za mapigano ...hauna time table specific unafanya fanya vitu kichwa chako kitakavyokutuma .... Unapenda kumsumbua mpenzi wako akiwa kazin kutafuta kipato... Una mlango wa chuma ... Taulo lako jeupe na linakubana bana sana una sinki mama ... Unapenda mziki wa baila .... Lakini kubwa kuliko yote [emoji24] huon aibu kukaa uchi