Yamenikuta leo Mama G

Ingekuwa mninga ungekuwaje na kuhusu kujilock
Mninga hautanuki ukipata unyevunyevu. Miti mingine hutanuka na kupinda hivyo ukipazimisha kuufunga unabana: aidha majengo ya kisasa Milango kama ya chooni hufungukia nje baadala ya ndani ikiwa ni mojawapo ya kusaidia katika dharula. Je, hiyo ni nyumba ya kupanga au ya urithi?
 
Kama kungekua na CCTV camera mule ndani inarekodi ningekua kituko cha dunia!!
Maana nilizunguka kila engo ya store!
Mwishowe nkajichokea na kulala kwenye gunia la pumba hadi asubuhi nilipopata wazo
Stoo ilikuwa mbali na nyumbani au ?,,
Mwenzio niliangalia hadi dirisha la choo eti nitoke [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahaaa sawa nimekupata mi hata sijui hii ni mbao ipi ,
Ya kupanga bana kujenga ni uoga wa maisha [emoji6]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…