Yamenikuta mwanaume nimekutana na mwanamke msagaji akanitenda

Thegreatcardina

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2009
Posts
406
Reaction score
179
Wadau mwenzenu yamenikuta.

Ni mwanaume, nimeingia kwenye uhusiano wa kimapenzi mrembo mmoja. Niliwahi kuambiwa kuwa mrembo huyu ni msagaji sikuamini. Tulipokutana mara ya kwanza alinipa mahaba ya kutosha na sikuamini tena kuwa ni msagaji. Mara ya pili ikawa kawaida pia.

Aliponizoea siku moja akaniambia anataka kunipa mahaba ambayo sijawahi kuyaona hapa duniani, na kwa kuwa ananipenda sana, kwamba sasa atahakikisha kuwa sitakaa nitamani mwanamke mwingine tena. Akaniomba niikabidhi nafsi yangu kwake na nimruhusu awe huru na mwili wangu. Nikamruhusu.

Nilichofanyiwa...... basi tu. Niliinamishwa, nikalazwa, nikabinuliwa, nikalambwalambwa, nikanyonywa, nikachokonolewa, nikakunwa kila mahali. kwa siku mbili hivi. Baadaye akasafiri. Simu yake kwa sasa haipatikani kwa muda. Kweli namtafuta kama alivyoniambia. Nitampata wapi jamani huyu mtaalamu wa mahaba?
 
Ulipobinuliwa na kuinamishwa hakuna kilichoingia ndani ya mwili wako!
 
kwahiyo kwa maneno mengine ni kwamba alikusaga?

Nilichofanyiwa...... basi tu. Niliinamishwa, nikalazwa, nikabinuliwa, nikalambwalambwa, nikanyonywa, nikachokonolewa, nikakunwa kila mahali. kwa siku mbili hivi. Baadaye akasafiri. Simu yake kwa sasa haipatikani kwa muda. Kweli namtafuta kama alivyoniambia. Nitampata wapi jamani huyu mtaalamu wa mahaba?[/QUOTE]
 
Wadau mwenzenu yamenikuta.
Ni mwanaume, nimeingia kwenye uhusiano wa kimapenzi mrembo mmoja. Niliwahi kuambiwa kuwa mrembo huyu ni msagaji sikuamini. Tulipokutana mara ya kwanza alinipa mahaba ya kutosha na sikuamini tena kuwa ni msagaji. Mara ya pili ikawa kawaida pia.

Aliponizoea siku moja akaniambia anataka kunipa mahaba ambayo sijawahi kuyaona hapa duniani, na kwa kuwa ananipenda sana, kwamba sasa atahakikisha kuwa sitakaa nitamani mwanamke mwingine tena. Akaniomba niikabidhi nafsi yangu kwake na nimruhusu awe huru na mwili wangu. Nikamruhusu.

Nilichofanyiwa...... basi tu. Niliinamishwa, nikalazwa, nikabinuliwa, nikalambwalambwa, nikanyonywa, nikachokonolewa, nikakunwa kila mahali. kwa siku mbili hivi. Baadaye akasafiri. Simu yake kwa sasa haipatikani kwa muda. Kweli namtafuta kama alivyoniambia. Nitampata wapi jamani huyu mtaalamu wa mahaba?

Kuna ulazima wakuwa unapost kila siku humu ndani?

"Mwelevu hadanganywi na mjinga"
 
Back
Top Bottom