Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 2,799
- 1,809
Pole sana, nitakupa faraja unayoitaka.Nmejikuta tumeachana na nimpendae
kunani tena mbona ujafafanua sasa tatizo nini malyakishu
Oops so sorry swts, cry as much as you can, hadi nafsi yako ihisi imeshusha mzigo. Na hili linapita tuBasi ngoja nikudokeze ...nikama heaven sent anavyo sisitiza kuhusu red flag katika mapenzi kutilia maanani lkn kwangu ni too late...sikushituka
Wa vidudu kabisaUtakuwa mtoto wa sekondari wewe
This time ni zamu yangu wacha nilieMapenzi!mapenzi!mapenzi!!.........wewe ni nani hadi umlize kila mtu,si mwanaume wa Dar si mwanaume wa kijiji,si mwanamke??....
AsanteAisee polesana.
Sitaki farajaPole sana, nitakupa faraja unayoitaka.
[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]Sasa kama Mtu ameshatoka " kushindiliwa " na " mkuyenge " wa maana na umeharibu mipango yake yote ya " Kibaiolojia " unataka akuanikie kila kitu hapa hapa sebuleni Mkuu?
AsanteOops so sorry swts, cry as much as you can, hadi nafsi yako ihisi imeshusha mzigo. Na hili linapita tu
Ndio nini hivi lkn?Ni m-pesa au tigo pesa ndio
Umetupa faraja wengi my dia, haya mambo magumu sana aisee!Oops so sorry swts, cry as much as you can, hadi nafsi yako ihisi imeshusha mzigo. Na hili linapita tu
Na wewe yamekukuta jamani? Pole sana, yatapita tuUmetupa faraja wengi my dia, haya mambo magumu sana aisee!
Na wewe nimuhanga kama Mimi?....pole mpendwaUmetupa faraja wengi my dia, haya mambo magumu sana aisee!
Asante mwaya! Yamenikuta!Na wewe yamekukuta jamani? Pole sana, yatapita tu
Asante mwaya, pole na ww!Na wewe nimuhanga kama Mimi?....pole mpendwa
Poleee ila mimi yalio nikuta sioni umuhimu wa haya mambo na kamwe sitowahi?? Nilivuliwa nguo na kutiwa aibu mbele za watuNdio nini hivi lkn?
[emoji17] [emoji17] [emoji17] pole sasa ilikuaje?.....mbona nahisi kama lako ni zaidi?Poleee ila mimi yalio nikuta sioni umuhimu wa haya mambo na kamwe sitowahi?? Nilivuliwa nguo na kutiwa aibu mbele za watu
Acha tu malyakishu adi leo bado najiona kama vile teja wa maisha yangu yote yaani zezeta, to make it worse hata wakunifariji au hata kunipa ushauri nao walikuwa hawamo...????? MPENZI NI FU***** SUCKER....[emoji17] [emoji17] [emoji17] pole sasa ilikuaje?.....mbona nahisi kama lako ni zaidi?
Heri kuishi mwenyewe kuliko na walimwengu...Acha tu malyakishu adi leo bado najiona kama vile teja wa maisha yangu yote yaani zezeta, to make it worse hata wakunifariji au hata kunipa ushauri nao walikuwa hawamo...????? MPENZI NI FU***** SUCKER....