Yamenikuta mwenzenu

Kazi ya moyo ni kupres damu kupenda ni kihere -here cha mtu,,
 
Nmekuelewa
Mkuu hata mimi zamani nilikua naumia saaana na mapenzi nilikua nalia sana tena sana

baadae nikakaa nikajiuliza ivi huyu msichana mbona miezi sita nyuma nilikua simjui kabisa?

nashindwaje kurudi nyuma na kumsahau?
kama niliweza kumpata yeye kwani nashindwa nini kumpata mwingine?

nikasema kuanzia leo nitasumbuka na mdogo wangu aliezaliwa namuona anaua namuona namuogesha namchapa
nikasema nitahangaika na kaka angu niliezaliwa namuona ananichapa ananikanya ananituma nafarahi akiniletea zawadi

nakuja kwa dadaangu pia nakumbuka hivyo hivyo

so saivi msichana akiniacha nakumbuka tu huyu nilimjua lini? nakumbuka naishia kumwambia kila la kheri dada
 
[emoji5] [emoji5] [emoji5] nzuri
 
Wewe unae chura?
Badala ya kujibu swali na kuzipokea pole zangu nawe unakuja na swali kwangu yaani ngachoka!!

Pengine sababu ya kuachwa inatokana na tabia iliyobebwa na ukurupukaji kama huu uliouonyesha
Jitafakari watu bado wapo wengi tu duniani ujisahihishe utampata kumbikumbi wako.
 
[emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Pole sana.
Mapenzi yana siri nzito sana. Huyo atakuwa mwanaume wa dar sbb wengi ni matapeli.
Mungu akutie nguvu, huwa inaniuma sana nikiona mtu amesalitiwa.
Basi bana ndiyo imetokea ila nakuomba tulia angalau mpaka mwaka huu upite ndiyo uanze mahusiano mapya
Na siku zote ukiona mwenzako anapunguza mawasiliano shituka bora ww humuwahi kumuacha kuliko yy kukuacha japo roho itakuuma lkn ni njia bora sana.
Km kwa siku mlikuwa mnapigiana simu zaid ya 5 akaanza kupunguza mpaka 1 kuna wakati hakutafuti mpaka ww umtafute au anachelewa kujibu sms au anapotezea missed calls hapo shituka. Penzi linakufa hiyo taratibu
 
Thanks nimejifunza
 
Ingawaje kwa zama hz haionekana kufunction lkn ukweli unabaki plpl kuwa kuna makabila wanawezana wenyewe kwa wenyewe mwingine akiingia aidha ni mme au ke ni lazima alizwe tu! Fanya utafiti kabla ya kuchagua
 
Thanks nimejifunza
Dada yangu ni kawaida ktk mahusiano ni km msiba. Hatutegemei lkn ndiyo hatuna jinsi inapotokea. Na hatuwezi kurudisha siku nyuma
Ila nakuomba ili kuepuka kuumizwa pindi utakapoanza mahusiano tafuta mtu anayekupenda, hata km ww humpend jifunze kupenda.
Na sema hivyo sbb ni sehemu salama kukaa na mtu anayekupenda kuliko unayempenda hata siku akiamua kuondoka huwezi kuumia sana.
mtu anayekupenda huwa ni vigumu sana kukusaliti km ww ulivyoshindwa kumsaliti mpenzi wako
 
pole enhee mama wanaume ndio tulivyo hakua jipya kwenye hii dunia na wala wewe ndio wa kwanza so la msing ni kuendelea na maisha yako wala usiumie saana wala nin....
 
unalizwa na hilo tu...ngoja upate experience basi utajua ku handle haya mambo angalau level ya kutolia hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…