Yamenikuta mwenzenu

Jamani! Pole sana! Wasichana wengi kwenye mahusiani ni michepuko na hatujijui tu! Mi nilikaa mwaka mzima na mkaka nikajua tutafika mbali kumbe mwenzangu aliacha familia na watoto wawili Songea.
Pole sana! Jikaze dada! Jipange vizuri na maisha yaendelee. Usimlilie itakuuma zaidi. Ona kama ni mapito tu katika maisha. Usimuoneshe ata kidogo kama amekuumiza, kua na furaha ata ya kufeki....
Yaani huo ni unyama!
 
Najitahidi kumwomba mungu anitue huu mzigo wa mawazo....naimani soon ntakua poa
 
Pole bibie. Kwa bahati mbaya kila anayejihusisha na kupenda ajue kuna siku ataumizwa tu. Ni part of the game. Lia, jibebe uanze maisha upya tena.,Hakuna ulipokosea ni kawaida ya wanaume kuoa wasiowapenda kuridhisha Mama zao, marafiki nk. You are just fine, stop existing start living
 
Nashindwa...lakini naimani mungu yupo
Basi kama umekiri mungu yupo na unaamin kuwa yupo

Basi amini kuwa mwenzako uliyepangiwa naye yupo iko siku mtaunganishwa pamoja acha kuwa dhaifu wenzako wanakula bata wewe unamwaga chozi
 
Asante kwa ushauri


Basi kama umekiri mungu yupo na unaamin kuwa yupo

Basi amini kuwa mwenzako uliyepangiwa naye yupo iko siku mtaunganishwa pamoja acha kuwa dhaifu wenzako wanakula bata wewe unamwaga chozi
 

we acha kumuweka mwenzio kwenye lock up ya mapenzi...mwaka 1, anachukua coz gani!! dada jiachie unavyowezAaa
 
[emoji121]
WEKA PICHA YA HILI TANGAZO LA CHEREKO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…