Yamenikuta: Mzee Mwagito ameniwekea tego la kutokwa hedhi kila nikikutana na mwanaume

Hii Inawezekana
 
Nenda kwa Padre au Shekhe kamhadhie kisha atamuita aongee naye kisha atakufungua uwe huru.

Pole Mungu akugurumie akukomboe!

Madam tatizo limejulikana fahamu na ufumbuzi uko karibia nusu kupatikana!
 
Hahahahaha two genders both are very active 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huyu haeleweki ni jinsia gan!!!.... Hivyo story zake ni za uongo ptu...fuatilia threads zake
 
We jamaa una laana wewe, haiwezekani unafit kila jinsia namna hii!!
 
Gawa nyuma
 
kweli we huna jinsia siku zingineunajifanya kidume leo unajifanya mwanamke
 
Unakula hela ya mzee wa watu unajua ameitoa wapi..!!

We mtafute mzee mwagito muyamalize ikibidi umzalie mapacha kabisa au Umrudishie pesa yake
 
Maajabu! Mara mwanaume mara mwanamke!! Itakuwa mchicha mwiba huu!!
 
mkuu, na ukienda kuachia marinda/mtaro kunatoka kimba?.. maana kuna nyuzi we ni ME
 
Kwa hiyo maumbile yako mbele mwagito nyuma segito!?
 
Fungua mp yako tuzungumze na ww binti ,

Au njooo mp yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…