Yamenikuta: Mzee Mwagito ameniwekea tego la kutokwa hedhi kila nikikutana na mwanaume

#Dada zangu wataolewa kwel# sababu hii uku
 
Unakula hela ya mzee wa watu unajua ameitoa wapi..!!

We mtafute mzee mwagito muyamalize ikibidi umzalie mapacha kabisa au Umrudishie pesa yake
Kuna utata umejitokeza wa jinsia yake
 
Mpele mwagito iki-ligi hichooo!
 
Mwanangu me nadhani wewe dume kumbe tamtam! 😆
Sasa usichoke. Fanya tuwe pamoja maana mimi siwazi hedhi wala nini. Tutagongana kama kawaida hata kama zinatoka nyingi
 
Nimefurahi sana alivyokukomesha samaki ngisi mkubwa. Alitakiwa ajiroge ufe au uwe unanuka.
 
Unastahili hii kwa tamaa zako pesa unataka kula utadhan mzee anazichuma tu mtini km hukumpenda bas ungeachana nae sukuilile hotelin na pesa zake za mwanzo ungerudisha sasa ww unataka kula pesa za watu tuu kizembe una unaona raha haiwezekani!!!!! Punguzen tamaa km mnapenda hela bas tafuten zenu
 
Safi Sana...mnajidai mnatumia pesa zetu kutafuta husband material...Rudisha miamala na uende Kwa Mzee akufumue mwaka mzima for free then ndo uombe msamaha.
Uchawi wa iringa haunaga mbadala[emoji4]

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Mwamposaa njoo uchukue mtu wako hukuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama mbele kuna tatizo so utoe ndogo? Waiter niletee bia ya mwisho niende nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…