Pole. Tuliza akili. Ukijichanganya tu possibility ya kufia gerezani ni kubwa sana. Usifanye jambo lo lote kwa sasa. Mtumie hizo texts huyo aliyekuwa mkeo kisha ondoka hapo home. Nenda kwa rafiki yako unayemwamini sana. Au nenda nyumbani kwa wazazi kama ni karibu. Katulize akili huko na sikiliza ushauri wao. Sali. Omba.Katika mambo ambayo mwanzo niliyapinga sana kutoka wanaume wenzangu
Ni jambo la kusema kuwa mwanamke hawezi kuachana na Ex hasa hasa mwanaume wake wa kwanza
Nilikuwa nafikiria ni uongo na kuwazushia tu wanawake ila kama mnavyoona kutoka kwa mke wangu niliye mwamini na kumthamini ndo ananifanyia hivi πͺπͺπͺ
Utafungwa kwa kuhisi kipigo ni dawaMpaka hapo bado unamuita mkee.
Huyo ni wakupiga kipigo cha mbwa koko halafu unafukuza
Kama mnakaa jirani na ex wake lazima utapigiwa kama ngoma broNilikuwa nafikiria ni uongo na kuwazushia tu wanawake ila kama mnavyoona kutoka kwa mke wangu niliye muamini na kumthamini ndo ananifanyia hivi πͺπͺπͺ
Unataka tukushauri nini?Katika mambo ambayo mwanzo niliyapinga sana kutoka wanaume wenzangu
Ni jambo la kusema kuwa mwanamke hawezi kuachana na Ex hasa hasa mwanaume wake wa kwanza
Nilikuwa nafikiria ni uongo na kuwazushia tu wanawake ila kama mnavyoona kutoka kwa mke wangu niliye muamini na kumthamini ndo ananifanyia hivi πͺπͺπͺView attachment 3508244
Kesi ya kupiga ya kazi gani?Mpaka hapo bado unamuita mkee.
Huyo ni wakupiga kipigo cha mbwa koko halafu unafukuza
Bila shaka ni chuga huyo.π€£π€£π€£ hukua na mke, ulikua upo single bado. Ex ana mwambia anaijua akili yake π€£eti Oyo nafikiri unaijua vizuri akili yangu. π€¬Khaaa kwa mke wa mtu.?
πππππππkama ulidhani umepata basi tambua umepatkana.