AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Ukishaambiwa km umekuja duniani na hauna kitu cha msingi cha kufanya basi wewe oa ...uwe unaelewa unachoambiwa , elewa neno kitu cha msingi cha kufanya.. maana yake kuoa sio lazima kuoa ni last optionKataa ndoa ulinde afya yako ya akili
Au usikute jamaa huwa linafukua samadi kabisa. Fikiria mke anasema jamaa limemchosha lakini bado anajipeleka (japo hajapenda). Dah!Ukute lijamaa style yake pendwa ni doggy bas likiwa kwa nyuma mzigo wote linafaidi
Njoo vilee!😂😂😂😂😂😂😂
Mimi sio mpumbavu wa kuchunguza mke wangu anafanya nini au anazungumza nani.Mijitu mingine inajinyonga kisa ugonmvi wa kimapenzi.Ushauri wako wakipumbavu maana unaangalia angle moja tu akipata maradhi kwa ujinga wa mtu mmoja hilo ujaliona kabsa
Ujumbe muhimu sana huu nimeupokea kwa uzitoPole sana mwamba..
1. Jikubali na amini kuwa kuna maisha baada ya kufanyiwa uchafu huo.
2. Kwa sababu hukumkuta bikira mwamby maneno haya "nimekusamehe, lakini jitafakari kama wewe ni mke wangu au tuna share na mpenzi wako wa zamani", hapo atabaini makosa yake na ataomba msamaha lakn muweke kwenye specific period ya probation.
3. Wakati huo kuwa busy na kazi yako (hamishia upendo wote kwa watoto kama mnao)
4. Mdharau na achana naye, songa mbele (kama hatabadilika)
5~hadi mwisho (TAFUTA PESA, TAFUTA PESA..)
hapa ukiwa na hela utapata kila kitu isipokuwa UFALME WA MUNGU. hvo utalazimika kumtafuta MUNGU
means "DUNIA NI FULL OF PRESSURE"
Mkuu kipigo cha nini? Huyo unatimua tena unamsindikiza na nauli unampa.Mpaka hapo bado unamuita mkee.
Huyo ni wakupiga kipigo cha mbwa koko halafu unafukuza
Msg za kutunga hamtutowi kwenye mstariKatika mambo ambayo mwanzo niliyapinga sana kutoka wanaume wenzangu
Ni jambo la kusema kuwa mwanamke hawezi kuachana na Ex hasa hasa mwanaume wake wa kwanza
Nilikuwa nafikiria ni uongo na kuwazushia tu wanawake ila kama mnavyoona kutoka kwa mke wangu niliye muamini na kumthamini ndo ananifanyia hivi 😪😪😪View attachment 3508244
Mnaopekuaga simu za wake zenu huwa mnatafuta nini huko? Sasa ukiona hivyo unahangaika na nini? Si uende uchukue mdogo wake!Katika mambo ambayo mwanzo niliyapinga sana kutoka wanaume wenzangu
Ni jambo la kusema kuwa mwanamke hawezi kuachana na Ex hasa hasa mwanaume wake wa kwanza
Nilikuwa nafikiria ni uongo na kuwazushia tu wanawake ila kama mnavyoona kutoka kwa mke wangu niliye muamini na kumthamini ndo ananifanyia hivi 😪😪😪View attachment 3508244
Zoba Republic duh!Hata angekua mtu Kanda maalum.ujasiri wa kumwambia mke wa mtu hivyo😌😌 labda mume ndio Zoba republic kama huyu.
huyu jamaa atakula anakula mpk ndogoKatika mambo ambayo mwanzo niliyapinga sana kutoka wanaume wenzangu
Ni jambo la kusema kuwa mwanamke hawezi kuachana na Ex hasa hasa mwanaume wake wa kwanza
Nilikuwa nafikiria ni uongo na kuwazushia tu wanawake ila kama mnavyoona kutoka kwa mke wangu niliye muamini na kumthamini ndo ananifanyia hivi 😪😪😪View attachment 3508244
Ataacha wangapi?Pole sana ndugu yangu achana nae