Greater thinker
JF-Expert Member
- Sep 12, 2011
- 286
- 38
- Thread starter
-
- #21
Hawa masharobaro wa siku hizi utawaweza mkuu? Kichekesho tu na hizo swagga zao!!!
Umeandika lugha ya sms sijakuelewa kabisa
Ungekubaliwa ungejiona bonge la HB kumbe hamna lolote, dawa ni hiyo tu. Siku hizi dogo hakuna hapana, hapana itaitoa mwenyewe kwa virungu tu.me najua kuhonga tena sanaa...kilungu chake cha kjnga sana yan kanchukulia me mjinga na ataaonaa..yoo
hapa tunajadili nini waungwana?
1.yooo
2.GT
3.Mlimani city
4.Jack na elfu kumi?
Hizi swaga za JF siku hizi mimi zaniacha hoi huyu anatumia "..yoo" na yule anatumia "Nalog off"!
Haya sisi yetu macho!!!!!!!!!!! :A S embarassed::A S embarassed:
We unataka akupigie kwa credit yake kwa lipi haswa??
Kam aunataka akutafute wakati hamna mpango wa maana muwezeshe!!
hapa tunajadili nini waungwana?
1.yooo
2.GT
3.Mlimani city
4.Jack na elfu kumi?[/QUOT
Nafikiri tunajadili yoo.