Yametimia: BASATA yaupiga pingu wimbo wa ROSTAM(Roma na Stamina) unaoitwa Parapanda

Status
Not open for further replies.
basata wakina remi ongala walishakufa ebu tuachieni jamani tupate radha ya muziki wa kutumia akil wakati wa kuitunga
imbeni nyie tuwasikilize
 
Hahaha kunabodaboda imepita nnje hapa saaizi inapiga huo wimbo wa parapanda wa roma...na jana nimeisikia kwenye daladala jamaa kauweka repeat mpaka nashuka unapiga huo tu
 
Msikate tamaa waacheni wajizoeleshe tu mwishowe tutawazoea afu nyimbo ztapigwa tu
Ila nashauri nyimbo Kama hzi ztoeni wkt Wa kampeni muone Kama watazfungia
 
Watu wanajituma, wanatumia muda, akili na pesa halafu kikundu cha watu wachache wanakaa mezani wanasema FUNGIA hii. Just simple tu kisa wanamuogopa FULANI...
 
Sijaona sehemu yoyote taarifa ya kufungiwa kwa wimbo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…