Yametimia kweli, watanzania hatujaamini kilichoitokea Yanga

Sir robby

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,396
Reaction score
4,080
Wadau Mdomo umekiponza kichwa Viongozi wa Yanga Walisema hatutaamini na kweli hatujaamini ila ndio KIPIGO
 
Watanzania bwana, simba na yanga zinaonesha ukweli wa roho zetu na tabia.Chuki, wivu, visasi kuombeana ubaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…