Ninyi mtaniuwa kwa Presha mwaka huu..................Hebu nipeni BREAK kwanza.Honengera nyingi kwako kwa kuongeza wajukuu baba,
Na km hali ya hewa itaendelea hivi jiandae kupata mjukuu mwingine maana sijui km msimu huu nitanusurika lol!
Nikuongeza tu maombi ili hali ya hewa ibadilike,other wise tutasameheana baba!Ninyi mtaniuwa kwa Presha mwaka huu..................Hebu nipeni BREAK kwanza.