Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,777
Wewe ni Fortuneteller?
Unaonekana unao ujumbe lakini umeandika lugha mchanganyiko utasema mabank teller walioanza kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishindwa kufanya jambo kwa kuhofia mtu fulani alishindwa basi jua wewe uliye acha umefeli pakubwa zaidi
Kikubwa unacho paswa kufanya ni kujifunza namna gani ilisababisha akafeli na wewe kuja kufanya tofauti na vizuri zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app