Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,311
- 1,018
Wakati tupo wadogo tuliambiwa tusipige Mruzi usiku, tusikae kwa muda mrefu kwenye mwanga ambao kivuli kikiwa exposed wala kuimba usiku.
Kisa wachawi wachukua.
Je, kuna ukweli wowote?⁉️
Kisa wachawi wachukua.
Je, kuna ukweli wowote?⁉️