Yanaitwaje.......?

Yanaitwaje.......?

sinafungu

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2010
Posts
1,527
Reaction score
865
Salam wana JF, jamani naomba mnisaidie , kuna mafuta ta kuchua( masaji) hivi ukiyataka yanaitwaje........? je ndio yale pia hutumika ktk suala la ngono (kumlainisha mwenzi wako) akawa anameremeta kama kitumbua ni hayohayo ama hayo ni mengine, je kama ni tofauti hayo nayo yanaitwaje, ? hupatikana sehemu zipi nayahitaji.
 
Back
Top Bottom