J JOSEPH SAKI Senior Member Joined Jun 28, 2013 Posts 110 Reaction score 16 Aug 29, 2013 #1 Maneno haya yanatofautianaje? Nayo ni haya mwehu, chizi, ayawani, punguani, mwendawazimu, zezeta, taahira na kichaa!!!
Maneno haya yanatofautianaje? Nayo ni haya mwehu, chizi, ayawani, punguani, mwendawazimu, zezeta, taahira na kichaa!!!