Yanayoendelea Kenya ni uthibitisho tosha kwamba Demokrasia kamili haiwezekani kwa nchi za Afrika

The real Daniel

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2017
Posts
2,117
Reaction score
7,899
Nisiseme mengi Sana.

Sote tuliisifia Kenya kwa kufanya uchaguzi huruma kabisa na matokeo yakatangazwa na ruto akashika nchi peacefully.

Ila maandamano yanayoendelea Kenya pamoja na jinsi mahakama inavyoyaunga mkono na kupelekea nchi kutotawalika inaonyesha kiasi gani ukiiendekeza Sana democracy kwa nchi za africa mambo hayaendi sawa mnaishia siasa, kukamatana, maandamano, biashara zinashindwa kufanyika.

Nchi imeshindwa kwenda mbele baada ya uchaguzi
 
Nchi imeshindwa kwenda mbele au ni Raila Odinga ameshindwa kukubaliana na ukweli wa mambo??
 
Ule uchaguzi ulikuwa vile kwakuwa Kenyatta Alimaliza Muhula wake
Na Kama Angelikuwa Mgombea Hali isingelikuwa Vile
 
Naamini hizo ni hatua kuelekea kuzuri, hata hao tunaojifunza democracy , haikuwa rahisi kupata haki moja kwa moja.
Watapata suluhisho na nchi itasonga mbele
Yes wanaandamana lakini tunaona kabisa mihimili ina mwisho wa mamlaka , kitu ambacho kwa Tanzania hakiwezekani.
 
Demokrasia ya ukweli ni Ile inayoshirikisha kila mtu. Maswali yote muhimu Kwa nchi watu wanaulizwa.

Mfumo wa proportional representation ndio mfumo Sahihi kuzingatia maslahi ya wengi.

Kenya nusu wa Wananchi including Wajaluo wako nje karibuni toka wapate Uhuru. Kikuyu na kalenjin wanapeta.
 
Nchi imeshindwa kwenda mbele au ni Raila Odinga ameshindwa kukubaliana na ukweli wa mambo??
Nchi imeshindwa kwenda mbele kwasababu shughuli ya maandamano inakwamisha biashara za watu na rais hawezi kufanya chochote kwasababu anabanwa na mahakama. Matokeo yake nchi haiendi mbele
 
Demokrasia ya ukweli ni Ile inayoshirikisha kila mtu. Maswali yote muhimu Kwa nchi watu wanaulizwa.

Mfumo wa proportional representation ndio mfumo Sahihi kuzingatia maslahi ya wengi.

Kenya nusu wa Wananchi including Wajaluo wako nje karibuni toka wapate Uhuru. Kikuyu na kalenjin wanapeta.
Kwa Africa hiyo haiwezekani. Kwasababu hakuna mtu anakubali kushindwa kwenye uchaguzi. So hata mtu akichaguliwa kihalali lazima aliyeshindwa atahakikisha nchi Haina utulivu Bila ya kujali kuwa anaathiri maisha ya wananchi wakawaida
 
Nisiseme mengi Sana.

Sote tuliisifia Kenya kwa kufanya uchaguzi huruma kabisa na matokeo yakatangazwa na ruto akashika nchi peacefully.

Ila maandamano yanayoendelea Kenya pamoja na jinsi mahakama inavyoyaunga mkono na kupelekea nchi kutotawalika inaonyesha kiasi gani ukiiendekeza Sana democracy kwa nchi za africa mambo hayaendi sawa mnaishia siasa, kukamatana, maandamano, biashara zinashindwa kufanyika.

Nchi imeshindwa kwenda mbele baada ya uchaguzi
Ni CCM tu kwa bongo.
 
Democracy ni kwaajili ya nchi ambazo tayari zimeendelea, maisha ya wananchi yako poa. Ila kwa umaskini wa nchi zetu democracy inatakiwa kuwa moderate, ili anayepita kwenye uchaguzi aweze kuiendeleza nchi
 
Tumeona Zambia, Malawi, Botswana wamefanya uchaguzi vizuri na vyama tawala kuanguka na kukubali na nchi kuwa na amani

Tatizo la Kenya ni Odinga, Odinga akifa Kenya itakua poa, kama wana akili wamuwahishe
 
Si kweli. Demokrasia ni mapambano endelevu ya kutafuta haki katika uhuru na usawa. Marekani mpaka leo wanaweka sawa harakati za Trump na wafuasi wake kupinga matokeo ya uchaguzi wa 2020 ikiwa ni pamoja na uvamizi wa the Capitol wa January 6, 2021.

Kenya vivyo hivyo. Ukweli wa Maandamano ya Odinga. Utawekwa sawa kupitia mchakato wa kikatiba na kisheria. Ndio umuhimu wa demokrasia. Sio kuiweka nchi kwenye giza totoro ambapo wachache wanajifanyia wanavyotaka.
 
Democracy ni kwaajili ya nchi ambazo tayari zimeendelea, maisha ya wananchi yako poa. Ila kwa umaskini wa nchi zetu democracy inatakiwa kuwa moderate, ili anayepita kwenye uchaguzi aweze kuiendeleza nchi
Tatizo kubwa kabisa ni kuwa “Maskini ananunulika” ndiyo maana hakuna nchi iliyoendelea kupitia demokrasia. Hata waarabu siyo demokrasia, tena kule ukileta ujinga wanakulamba jambia. Demokrasia huja pale ambapo kila mmoja ana uhakika wa mlo, kama ilivyo kwa kengeza na wenzake baada ya kupata mlungula sasa wanasema kuna demokrasia ila kabla ya hapo ile demokrasia ya maendeleo ya Dkt Magufuli hawakuwa wanaitaka kabisa, kina ayatola nao hivyo hivyo hela hela hela
 
Kweli kabisa. Lakini pia haya maandamano yanawachanganganya wananchi na kuwaweka kwenye mawazo ya uchaguzi Kila siku.

Wanasiasa wanatumia matatizo ya wananchi kuhakikisha nchi haitawaliki na serikali iliyoingia madarakani inakosa muda wa kuweka nchi sawa.
 
Ni kweli masikini huwa siku zote hana maamuzi, akishapewa hela basi kwake kila kitu kinakuwa sawa. Wewe angalia mbowe na genge lake hata kumsaidia Rais Dkt Samia kuhusu mfumuko wao wapo wanampiga pambio za uongo
 
Tumeona Zambia, Malawi, Botswana wamefanya uchaguzi vizuri na vyama tawala kuanguka na kukubali na nchi kuwa na amani

Tatizo la Kenya ni Odinga, Odinga akifa Kenya itakua poa, kama wana akili wamuwahishe
Na hapo ndiyo ninaposema complete democracy ni ngumu kwasababu hizo nchi kama wapinzani wangegoma ku move on na nchi kushindwa kutawalika basi hao viongozi waliochaguliwa kidemokrasia wangepata tabu Sana. Pengine wangechukua maamuzi kama ya magufuli dhidi ya maandamano ya UKUTA
 
Nchi imeshindwa kwenda mbele kwasababu shughuli ya maandamano inakwamisha biashara za watu na rais hawezi kufanya chochote kwasababu anabanwa na mahakama. Matokeo yake nchi haiendi mbele
Katika Kaunti 47 ni kaunti ngapi zilifanya maandamano ya kusimamisha nchi?
 
Back
Top Bottom