A
Anonymous
Guest
Habari za kazi, tunaomba utupazie sauti tuweze kufahamu sheria pamoja na utaratibu wa sekretarieti ya ajira utumishi katika mchakato wa usahili
Hivi karibuni 1/09/2024 zilitangazwa ajira za kada ya afya kupitia sekretarieti ya ajira Baada ya mchakato wa kupata wanaostahili kwa usahili 27/08 kwajili ya usahili ambao ungepangwa kuanza tarehe 02/09/2024 wakianza kada ya afisa tabibu
Lakini kuna kundi kubwa la vijana walizuiliwa kuingia kwenye chumba cha kufanya mitihani wa kuandka kwa kigezo cha kukosa kitambulisho chenye kuonesha leseni hai kutoka MCT kwa wakati huo huo ukiingia kwenye mfumo wa MCT kipengele Cha "search doctors " ukisachi jina la mtu huyo linaonesha yupo registered na legible to practice yaani amesajiliwa na anaruhusiwa kufanya kazi na hii huja Baada ya kuuhisha leseni kwa kulipia 75,000 tsh kila mwaka.
Wakati huo huo kuna kundi la watu ambao hawakuwa na certificate of enrollment kutoka MCT waliruhusiwa kwa kutumia kigezo kwamba walikuwa na ID card ambayo inaonesha wako legible to practice, sasa tunauliza kama mfumo wa MCT anaonesha mtahiniwa yupo legible to practice wakati huo huo anakataliwa kuingia kwa mtihani kisa hana ID kwa Karne ya sasa ni kweli?