Kenya imekua miongoni mwa nchi bora kwenye upande wa democracy ukiachana na Ghana,na Nigeria. Kwa upande wa nchi zinazoendelea kusini mwa jangwa la sahara hakuna nchi inayoifikia kwa democracy yao. Democracy yao imechagizwa zaidi na katiba yao ambayo imeheshimiwa sana na utawala wa Jubilee kinyume na matarajio ya wengi.
Nimesema kinyume na matarajio ya wengi kwasababu utawala wa Jubilee ulikumbana na misukosuko hasa baada ya viongozi wake wakuu "Uhuru Kenyatta " na "Mh. William Rutto" kushitakiwa na mahakamani ya makosa ya jinai uhalifu wa kibinadamu huko The Hague Uholanzi.
Baada ya kesi zao kukosa nguvu hawa watawala wajitahidi kuimarisha democracy ya Kenya na kusisitiza amani na upendo kila wapandapo majukwaani.
Pia kuthibitisha utawala wa akina Uhuru na Rutto ulikuwa wa demokrasia kushinda wa Kibaki aliyempora ushindi Raila, na yule wa mzee Moi. wakati Yahya Jamey Rais wa zamani wa Gambia akigoma kuachia madaraka kwa Adam Barrow Rais wa sasa, Mh Kenyatta alisema yupo tayari kukabidhi madaraka iwapo atashindwa bila shida yoyote kitu ambacho ni nadra kusikia kutoka kwa viongozi nchi wanachama Africa Mashariki.
Siasa za Tanzania Kwasasa zimekandamiza upinzani.Mfano Tanzania chama cha upinzani hakiruhusiwi kufanya mkutano wa hadhara na wananchi , kuna baadhi ya maeneo mfano maeneo kama Nyasa na chato Police waliwakamata viongozi wa chadema na wafuasi wao wakati wakifanya mkutano wao wa ndani.Kwa ufupi utawala wa Tanzania wa chama Tawala umekandamiza vyama vingine kufanya siasa huku wao wakifanya mikutano ya hadhara kwa mwamvuli wa ziara za viongozi wao.
Utawala wa Tanzania hasa Rais JPM anaurafiki na mmoja wa viongozi wakuu wa NASA, na utawala wa Tanzania Kwasasa unafanana na ule wa Kagame wa Rwanda.
JPM na Kagame ni marafiki na tangu uimarike Tanzania inapitia kwenye hali mbaya kisiasa hasa kukamatwa na kufungwa mahabusu wapinzani tu.
Tunaamini utawala wa NASA utairudisha nyuma sana Kenya kwenye democracy. Kwani kuwa na katiba bora ni suala mmoja ila kupata kuiheshimu ni busara za mtawala. Ukweli ni kuwa utawala wa NASA hsutatofautiana na wa JPM wa Tanzania kutokana na uswahiba wao.
Wakenya tufanye uamuzi sahihi kwani democracy ndiyo msingi wa maendeleo.
Mwisho Kenya bado IPO mbali kiuchumi na Tanzania haiwezi kuifikia. Utawala wa Tanzania umejikita kukamata akina Tundu Lissu, na Kumsaidia Lipumba ili chama cha Cuf kikose nguvu visiwani.
Sent using Jamii Forums mobile app