Yanayoendelea udsm

Tukitaka kuinusuru UDSM lazima Mukandara awe out no questions.. na atakaye chukua nafasi yake awe ni msomi huru asiyetawaliwa na itikadi za kisiasa

Natumia simu ningekugongea like

Katiba mpya ndo suruhisho,vice cancellor asiteuliwe na rais
 
Wana CDM mpo kazini aha aha ahaa ahaaa mi nawapa moyo endeleeni kugoma ila mkifukuzwa mtafunzwa na Dunia!
 

we bado zamu yako kurudi kwenu iramba mashariki
 

Hivi kipindi akina Samuel Sita wanagoma sababu ilikuwa ni nini?
Na je Samuel Sita alivyo goma na wenzie walifukuzwa chuo?
 
akionekana usawa wa kumdunda mdundeni ili ajue kuwa kuchezea maisha ya wasomi cyo fair. au kama vp abaki na waume zao darasa la saba na zezeta wake jk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…