PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Msemaji wa Yanga, Ali Kamwe, tangu Yanga ifungwe na Tabora amekuwa akijaribu kukanusha kila alilokuwa akiulizwa na Wanahabari na pia yaliyokuwa yakiulizwa mitandaoni.
Kinachoonekana mambo mengi yanayoendelea ndani ya Yanga yamezagaa mitaani, huku Msemaji akiwa busy kukanusha lakini baadaye yanatokea.
Nimekuwa namkubali sana Ali Kamwe, lakini ninachoona amekuwa na mambo na matamko mengi yasiyo na tija kwa timu kiasi kwamba ameanza kuchoka mapema.
Ameanza kuchoka kabla watu hawajamchoka, bado ana muda wa kujifunza na ajifunze kwa Bumbuli.