Utaishia kumlaumu tu bure! Tatizo linaanzia huko juu kwa InjiniaMsemaji wa Yanga Ali Kamwe, tangu Yanga ifungwe na Tabora amekuwa akijaribu kukanusha kila alilokwa akiulizwa na wana habari na pia yaliyokuwa yakiulizwa mitandaon.
Kinachoonekana mambo mengi yanayoendelea ndani ya Yanga yamezagaa mitaani, huku msemaji akiwa busy kukanusha lakini baadaye yanatokea.
Nimekuwa namkubali sana Ali Kamwe, lakini ninachoona amekuwa na mambo na matamko mengi yasiyo na tija lwa timu kiasi kwamba ameanza kuchoka mapema.
Ameanza kuchoka kabla watu hawajamchoka, bado ana muda wa kujfunza na ajifunze kwa Bumbuli.
Ali kamwe Yuko sahihi anajua ethics za kazi yake, ulitaka atoe tamko yeye kabla official statement ya klabu aijatoka? Kwamba na yeye angeungana na wazee wa habari za udaku kukubali Kila kitu wanachokiongea juu ya klabu? Sijawai kuona kitu cha namna iyo kwenye taasisi yoyote Ile, Kamwe lazima ailinde na kuipigania brand ya yanga muda wote Yuko sahihi kwa 100%Msemaji wa Yanga Ali Kamwe, tangu Yanga ifungwe na Tabora amekuwa akijaribu kukanusha kila alilokwa akiulizwa na wana habari na pia yaliyokuwa yakiulizwa mitandaon.
Kinachoonekana mambo mengi yanayoendelea ndani ya Yanga yamezagaa mitaani, huku msemaji akiwa busy kukanusha lakini baadaye yanatokea.
Nimekuwa namkubali sana Ali Kamwe, lakini ninachoona amekuwa na mambo na matamko mengi yasiyo na tija lwa timu kiasi kwamba ameanza kuchoka mapema.
Ameanza kuchoka kabla watu hawajamchoka, bado ana muda wa kujfunza na ajifunze kwa Bumbuli.
Kamwe unamuonea kwanza hafanyi maamuzi, yeye anaambiwa akaongee nini, ukiona unamuuliza kitu yy hakijui ,jua hajaambiwa. Mnamlaumu kamwe wakati yy hupewa akaongee na hamna msemaji anayefanya kazi kwa tetesi,kila tetesi ajibu wakati hajapewa taarifa haijakaa kiuweledi.Msemaji wa Yanga Ali Kamwe, tangu Yanga ifungwe na Tabora amekuwa akijaribu kukanusha kila alilokwa akiulizwa na wana habari na pia yaliyokuwa yakiulizwa mitandaon.
Kinachoonekana mambo mengi yanayoendelea ndani ya Yanga yamezagaa mitaani, huku msemaji akiwa busy kukanusha lakini baadaye yanatokea.
Nimekuwa namkubali sana Ali Kamwe, lakini ninachoona amekuwa na mambo na matamko mengi yasiyo na tija lwa timu kiasi kwamba ameanza kuchoka mapema.
Ameanza kuchoka kabla watu hawajamchoka, bado ana muda wa kujfunza na ajifunze kwa Bumbuli.
Alikua ana kanusha nini kwa mfano gentleman?Msemaji wa Yanga Ali Kamwe, tangu Yanga ifungwe na Tabora amekuwa akijaribu kukanusha kila alilokwa akiulizwa na wana habari na pia yaliyokuwa yakiulizwa mitandaon.