Kaka mwisho
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 407
- 178
kata ya kijichi ndio hapasomeki kabisa. Hapo mbagala wanasemaje?
Hawajabandika mpaka sasa tuna wasiwasi wanataka kuwekana watu wao
true lie!!!mbona kibaha wameshabandika na nimeyaona kwa macho yangu...wengi ni waislam sasa sijui watagomeaje hiyo sensa?Kwa dar wametoa ya wilaya moja tu kwahyo ilala na temeke subrin mtaitwa tu. Mikoani muwe na subra pia.
true lie!!!mbona kibaha wameshabandika na nimeyaona kwa macho yangu...wengi ni waislam sasa sijui watagomeaje hiyo sensa?

sasa mbona hukusema kuwa unamaanisha hiyo mikoa?au hujui kuwa kibaha ni mkoani yaani mkoa wa pwani?acha mitusi mwezi wa ramadhani huu!!!ndg yangu kuwa muelewa namaanisha mikoa ambayo bado kama dodoma, moro, tabora, ruvuma na mingineyo. Wewe kama umeona ni jambo la kuwajuza na wenzako. Usilete mambo ya mipashano kama wanawake.
Mie niko hapa kwa afisa mtendaji kata moja ya mbagala lakini hadi sasa hawajabandika hata majina ya walochaguliwa..wewe uko wapi?