MWANA WA UFALME
JF-Expert Member
- Sep 10, 2010
- 578
- 144
Taarifa nilizoona ITV sasa hivi toka huko shinyanga ni kuwa kuna system ilishatengenezwa ya kuchakachua ya mtu kupewa karatasi tatu za kupigia kura baada ya kuonesha ishara ya vidole vitatu kwa msimamizi.
Amekamatwa jamaa alishapiga kura tatu kwa jk tayari na sasa yupo lupango.
Hili ni zimwi la hatari na linastahili kuondoka madarakani. Mwaka huu wataumbuka tu.Dah, ccm ni shetani wa tanzania.
hata mimi nashangaa, maana mtuhumiwa amesema amepewa tatu tatu tatu, na huyu msimamizi baada ya kumwonyesha dole tatu.Huyu Msimamizi naye angekamatwa.
Wangapi walishapiga kura 3 kabla ya huyu aliyekamatwa!!!!!!!???????Amekamatwa jamaa alishapiga kura tatu kwa jk tayari na sasa yupo lupango.
Hizo kula zake zote ziwe batili. Huyo ni mpinga maendeleo. Pia msimamizi naye amfuate mwenzake rumande
Wangapi walishapiga kura 3 kabla ya huyu aliyekamatwa!!!!!!!???????
asante lakini tunaomba data tafadhali