Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Mechi Itachezwa Saa Mbili na Robo (2;15 saa za AM) Usiku wa Leo JUMATANO (7/01/2015) kwenye Uwanja wa Amaan
Mkolaj na Makoye watawaletea yanayojiri (Live Updates) kwenye mechi hiyo
kwa sasa naongozwa na hisia kwamba wachezaji wamejipumzisha na saa kumi na mbili watapa chakula cha jioni kabla na kutajiwa kikosi cha wanaonza kabla ya kuelekea uwanjani
Kamati za Ufundi ziko mahangaikoni (Busy) kuhakikisha mambo yanakwenda sawia...............
mechi imeisha, simba imesonga nusu fainali kwa mabao ya Ibrahim Hajib (3) na Kisiga 1