Yanayojiri kwenye boxing ring kati ya Antony Joshua na Carlos Takam

Yanayojiri kwenye boxing ring kati ya Antony Joshua na Carlos Takam

okaoni

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Posts
1,471
Reaction score
1,303
Wale wapenzi wa ngumi jiwe, yule mwanamasumbwi Mwingereza mwenye asili ya Nigeria kiboko ya wazungu mzee wa knock out na uppercut za hatari muda wowote kuanzia saa mbili usiku atakuwa ulingoni kupitia chennel one ya kingamuzi cha star times
anton joshua.jpg
 
Leo AJ anashinda , mimi nasubiri siku akizitwanga na deontay wilder ndio nitamuheshimu AJ kama akimpiga huyo jamaa
Tatizo lake kubwa ni kuishiwa pumzi maana lile pambano la mwisho kuna raund alikuwa anapepesuka mwenyewe na kushindwa hata kunyanyua mkono
 
Mzuqa wanaJamvi!

Mkameroun Carlos Takam atapambana baadaye usiku wa leo Na Antony Joshoa Kati pambano Kali la masumbwi. Nina imani naninamtabiria Takam ushindi Na atamdondosha mtu kwa knock out. Jamaa nimeipenda physique yake ni mwepesi Na anipiga ngumi kwa mahesabu. Tusubiri tuone.
20140528_-_Carlos_Takam_17.jpg
 
Nilisema AJ atampiga takam toka mwanzo mimi nataka game ya AJ na Wilder tuone mbabe ni nani.
 
tuwekeeni link nasi tulio mbali na Tv tupate burudani online...
 
Back
Top Bottom