Ni usiku huu, wameanza na mapambano ya utanguliziHili Pambano ni Leo?
Tatizo lake kubwa ni kuishiwa pumzi maana lile pambano la mwisho kuna raund alikuwa anapepesuka mwenyewe na kushindwa hata kunyanyua mkonoLeo AJ anashinda , mimi nasubiri siku akizitwanga na deontay wilder ndio nitamuheshimu AJ kama akimpiga huyo jamaa
Haitakua dkk ya kwanza ila haitafika raundi ya tanoTatizo jamaa hachelewi kupiga K.O dakika ya kwanza kama enzi za Tyson