Yanayojiri kwenye boxing ring kati ya Antony Joshua na Carlos Takam

Muda ndio huu wahi kucheki k.o ya mapema usije sema hukuambiwa
 
Wainhereza wanampamba jamaa kama waniavyoipambba EPL kumbe kuna la liga, bundesliga etc!
Na huku pia kuna wengine wa ukweli.
 
AJ kapewa promo ya kutosha inabidi amalize pambano mapema sana
 
Kumbe huyu wizkid ni msanii mkubwa sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…