Bondemania
Senior Member
- Jan 12, 2012
- 103
- 39
Duh, kwa King'amuzi cha azam channel gani naweza icheki?Raundi ya pili imeisha Joshua damu za puani zinamtoka,
Duh, kwa King'amuzi cha azam channel gani naweza icheki?
Wakati wakupima uzito alijibu kistaarabu sana joshua nilipenda hakuwa na majigambo sanaRaundi ya pili imeisha Joshua damu za puani zinamtoka,
Anamaliza 12, unamchukulia poa?Atafika round ya saba kweli huyu.. πππππ
Game over,hapa ndio tunaona fitna za boxing dahTv 1
Mkuu umeona?ππAnamaliza 12, unamchukulia poa?
weka picha sis wengine matomasoNdio jamaa wamepanda ulingoni,stay put ntawajuza