Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
AMECHOKA..angalia kiatu alichovaa kwa ajili ya kuongeza stability jukwaani
Kwa msaada wa serekali ya marekani ulinzi wa askari wanamaji ziwa victoria utaimarishwa. Kuanzia mwakani no more majambazi mwanza
AMECHOKA..angalia kiatu alichovaa kwa ajili ya kuongeza stability jukwaani
hivi hakumbuki mwezie Omar Bongo alikufaje....kifupi ni kuwa JK hana afya na uwezo wa kiafya kuendelea kushika madaraka ya nchi kama rais
AMECHOKA..angalia kiatu alichovaa kwa ajili ya kuongeza stability jukwaani
Watu wengi pale walifuata burudani ya muziki wa Bongo flava wa bure tuu. Hamasa ya mkutano wa kampeni haikuwepo kabisa ndio maana mtu akisema CCM oyee! kiitikio ni sauti za kuhesabu. Niliuona mkutano wa Slaa viwanja vya Furahisha akijitambulisha, mkutano ulikuwa na hamasa ya kutosha. Nadhani hamasa jana ilipotea kwa vile watu wameshachoka kudanganywa na "Sio mabwege tena"Acha uongo,
Jana niliangalia kuanzia alipoongea Katibu wa CCM mkoa Mwanza, Bilali, mpaka Raisi mwenyewe. Ilikuwa aibu tupu. Uwanja ulikuwa zii, utafikiri watu wamemwagiwa maji. Mpaka Pius Msekwa alikuwa anajisikia vihbaya, na mara nyingi alikuwa akijaribu kuanzisha makofi lakini wapi! Ukisema CCM hoyee, watu kimya! unasikia sauti za watu kama 20 hivi walio pale jukwaani.Bilali alijaribu kujitutumua wapi! Uwanja Zii! Kwa kweli CCM pale wameshajua, hawatakiwi. Alipoanza tu JK kuhutubia na takwimu za ajabu ajabu, watu wakaanza kutoka uwanjani.
Pale palijaa wanafunzi na walikuwa bored kichizi........ huu ndio ukweli wa CCM< Kirumba jana.
Wataona vipi wakati JK ndiye anayewapa ulaji??Ma...hiyo si ndege ya serikali sasa iweje imbebe kwenye kampeni...TAKUKURU hamuoni hii au vipi?
Anasema nyanza imefirisika kwa sababu ya wezi hawa wezi walitoka wapi...anasema atawasaidi kulipa madeni daaaah yaani wezi uwasaidi kulipa deni kwanini usiwafunge....
Nilitoka kuangalia mpira. Najaribu star tv nakuta kuna kampeni za CCM. Wasanii akina Flora Mbasha nao wametinga Mwanza. Sasa hivi anahutubia Bilal
AMECHOKA..angalia kiatu alichovaa kwa ajili ya kuongeza stability jukwaani