Yanayojiri kwenye mapokezi ya Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera nchini Tanzania

Hapa nimevuta hisia kali sana kwenye hili suala
 
Rais wa Malawi Lazarus Chakwera amewasili JNIA na kupokelewa na mwenyeji wake Rais Magufuli.
Tukio liko mubashara tv zote nchini.

Up dates;
 
Siasa we acha tu.. tupo kwenye mchakamchaka wa uchanguzi na campagn zimepamba moto. Huyu anakuja sijui Kuzindua nini.. Na mimi Nimevuta Hisia Kwa hili Jambo kama John the bapatist.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…