OCC Doctors
Senior Member
- Jul 20, 2018
- 113
- 172
Kufikia Miezi minne ya Ujauzito (wiki 16), Mtoto huanza kunyonya kidole gumba, kupiga miayo, kunyoosha na kutengeneza nyuso. Mfumo wa neva / mfumo wa fahamu huanza kufanya kazi katika hatua hii ya ujauzito.
Viungo vya uzazi na sehemu za siri za mtoto sasa huumbika kikamilifu. Kupitia uchunguzi wa ultrasound jinsia ya mtoto hubainishwa katika muda huu kama ni mvulana au msichana.
Viungo vya uzazi na sehemu za siri za mtoto sasa huumbika kikamilifu. Kupitia uchunguzi wa ultrasound jinsia ya mtoto hubainishwa katika muda huu kama ni mvulana au msichana.