Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, leo 17/03/2018 ni siku ya kipekee kwa hawa wanachama wa chama kubwa tz na duniani Jf, ambapo mzee wa matunguri na mkuu wa kilinge cha wachawi pale kibaha Mshana jr, anaukacha ukapela kwa kufunga ndoa na binti kigoli, mwenye kiuno kama feni, lipsi za haja na msambwanda wa kuita, huku miondoko yake ikiwa kama ya Asuka, (mcheza wrestling) bint mdeko Demis!
Sherehe hiyo ambayo kwa tetesi zilizokuwepo ni kwamba baadae kutakuwa na zindiko la aina yake kilingeni, itakuwa ya aina yake kwani inatarajiwa kusisimua wahudhuriaji wote watakaokuwepo na hata kuteka jf yote...
cc; Ambiele Kievioe
bila shaka upo eneo tayara, mubashara kuleta update na mapicha kutoka kilingini, na mapochopocho mubashara ya kichawi...