Yanayojiri Sinza baada ya mishahara kutoka

fluid

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
363
Reaction score
236
Katika hali isiyo ya kawaida, baada ya Sinza kupoa kwa muda mrefu kidogo sasa jioni hii katika hali ya kuashiria mishahara imeshatoka.

Nilichojifunza, sasa Hivi asilimia kubwa ya watumishi wameegemea kwenye mishahara.

Cha pili, usumbufu Huu ni wa wiki hii tu, kuanzia wiki ijayo Amani inarudi.

Namba inasomeka.
 
Mshahara????
 
Wapiiii mkuuuu ukifulia ni ww wengine mwanzo mwisho kula bata haijalishi ni mwanzo au mwisho wa mwezi....weitaa ongeza saint anna nyngne [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Wewe mleta mada unafikili mlivyofulia hapo ufipa, ndio kila sehemu watu wamefulia??

Hama ufipa akili yako itafunguka
 
hivi kumbe kuna watu wanapata mshahara before 25th
 
Halafu hao jamaa siku wakisitishiwa ajira waanze kulalamika hali mby wkt pesa waliwekeza kwenye pombe na anasa
Lets be frank, tunawekeza kwenye miradi mbali mbali ili tupate pesa tustarehe, sasa waache waliopata pesa kwenye miradi yao wastarehe, huu ni muda wao. Na wewe anzisha mradi hata wa matikiti, ukivuna unaweza tenga walau 5% ya faida kwenye starehe, its good for you
 
Mishahara ikitoka watu wanakua na jeuri.sie wajasiriamali hatunaga cha mwisho wa mwezi wala nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…