Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017

Informer

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,606
Reaction score
6,672
Wakuu,

Kwa niaba ya JF, nitahakikisha mnafahamu kinachojiri toka hapa Kenya ambapo uchaguzi Mkuu unatarajiwa kufanyika hapo kesho.

Tayari Raila Odinga ametangaza kuwa Muungano wa NASA utakuwa “National Resistance Movement” na kuwataka wakenya kutoshiriki uchaguzi huu ambao amesisitiza ni batili.

Kwa kuanzia, hali ya usalama imeimarishwa kila kona:





========
Oktoba 26, 2017

08:00am
> Vituo vingi vina wapiga kura wachache sana! Hadi muda huu dalili si nzuri kama wananchi watajitokeza kwa wingi

14:00
Mtu mmoja ameuawa huko Kisumu na wengine 8 kujeruhiwa baada ya polisi kukabiliana na wafuasi wa upinzani waliotaka kuvuruga uchaguzi.

Marehemu alikuwa ni kijana mwenye umri wa miaka 19 na alifariki baada ya kupigwa risasi ya paja na kuvuja damu nyingi


==========================================

16:30
IEBC yaahirisha uchaguzi Kaunti za Kisumu, Migori, Homa Bay na Siaya mpaka Jumamosi. Kaunti hizo ni ngome ya upinzani.

Hii ni kutokana na hali ya mshike mshike kati ya Polisi na Wapiga kura asubuhi ya leo

> Kisumu, mtu mmoja ameripotiwa kufa na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya wafuasi wa upinzani kupigana na Polisi

> Migori, mtu mmoja amepigwa risasi na kujeruhiwa baada ya watu waliokuwa wakijaribu kuzuia vituo vya kupigia kura kupambana na Polisi. Mtu huyo alipelekwa hospitali ya Migori kwa matibabu

>Homa Bay, kulikuwa hakuna matukio mengi zaidi ya vijana wakijaribu kuzuia watu kupiga kura na viongozi wa IEBC kushindwa kutokea kwenye vituo vya kupigia kura

>Siaya wasiamamizi wavituo vya kupiga kura hawakutokea kabia

17:00

Kura zimeanza kuhesabiwa sehemu ambazo hakuna utata
==============================================

27th October 2017

8:40

The polling station, which is in Bogisero Ward along the Luo-Kisii border has 297 registered voters.

According to Mr Hassan, the officials may have feared attacks from the neighbouring Homa Bay County.

Kisii County Police Commander Abdi Hassan said the officers mandated to conduct the repeat poll tendered their resignation on Thursday at 8.30am.

13:50
How Migori is blocking IEBC and repeat poll


14:10

One person has been shot dead in Bungoma as police engaged NASA supporters who were protesting in Bungoma town.

14: 20

IEBC chairman Wafula Chebukati says the commission has received 37,045 Forms 34A & results from 15 constituencies.
 
Wanasiasa hovyo kabisa
watu wanakimbia nchi yao kumkimbia mwanadam mwenzie Wakenya Amueni muache kutumika
 
Wasalaam wakuu,
Kama tunavyojua leo ni ile siku iliyosubiriwa na wakenya wengi, ni katika uchaguzi wa marudio wa baada ya ule wa awali kubatilishwa na mahakama.

Kupitia mada hii tutajuzana kila kinachojiri katika uchaguzi huu

Nawasilisha

Endelea kufuatilia hapa mubashara
 
Itakuwa vizuri mkuu ili tujue nini kinachoendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…