hapa ni mwika sokoni, aliibuka ghafla siku ya soko na maspika yake siku ya jumanne au kama sijakosea ni ijumaa. mkutano wake ukafanyikia safari bar. hao watu mnaowaona wamekaa hapo walikalishwa safari bar upande wa uwani wanakouza nyama choma na kitimoto. mzee hana jipya. huwa anavizia siku za soko coz ana kismati cha kupendwa na vimama