Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 2,660
- 3,501
Mada pendwa kwa wanaume!
Hebu tujikumbushe yale yote tuliyowahi kusikia, kuona, kusoma au hata kuexperience kuwa yanachangia katika nguvu za kiume kuongezeka au kupungua. Nitataja randomly baadhi ya magonjwa, kazi, mazoezi, tabia, vyakula na vinywaji
Kula chips- weka za kushiba na kila kitu weka ndani yake (inapunguza)
Kula karanga (inaongeza)
Kula chainizi (inapunguza)
Kula nazi (inaongeza)
Kula mihogo- wanafunzi oyee (inaongeza)
Kula ndimu ya unga -wazee wa supu, ndimu imebaki hii ya unga nikuletee? (inapunguza)
Kula junk food- wazee wa pizza na badger - wale wa kila siku "...kata keki tule..." (inapunguza)
Kukosa usingizi -unajidai uko bize kuzichanga hutaki kulala masaa 8 (inapunguza)
Kisukari (kinapunguza)
Unene -vitambi na mabonge nyanya (inapunguza)
Kazi ngumu- Mola tunusuru tu maana...(inapunguza)
Mazoezi magumu- sanaa za ngumi na kutunisha misuli- wazee wa kubeba vyuma mpo...!? (yanapunguza)
Ngiri- siyo mnyama ni ugonjwa huo (inapunguza)
Kula maharage ya soya (inapunguza)
Supu ya pweza (inaongeza)
Kujichua- punyeto (inapunguza)
Kuangalia video/picha za ngono (inapunguza)
Pombe (inapunguza)
Kuchuchumaa -kichurachura nk -usiniulize chooni(inapunguza)
Mawazo-msongo (inapunguza)
Orodha ni ndefu kweli kweli nimechoka hata kuandika acha nijikimbushie ule wimbo
"Wanaume tumeumbwa mateso, mateso..."