Yanayonikuta London, Uingereza - Part 2

Samahani mkuu.
Hatuna uhakika unachokisema sasa ndicho ulichokisema wakati Dr anakuhoji.
Kwa watu wanao nijua mimi. Haya mambo ya kulogwa nimekuwa nina pinga sana. Hata kama nilikuwa nimelewa nisingeweza kusema alichondika.
Halafu mimi nili resign NHS kutoka na kuathiriwa na wenye kuamini hizi imani potofu. Halafu leo nilalamike kwa doctor nimelogwa!
 
Kuna namna Kwa kweli- story imechanganya na dish kuanza kuyumba… msaada wa haraka unahitajika…electric wavelength mtu anatumiwa…?hii huwa naisikia tu Kwa wanaoamini uchawi. Doctors kazi munayo…
 
Wewe ni mhamiaji haramu, usilete mbaambaa hapa
Mhamiaji haramu halafu nianze kulalamika kuhusu doctor kuandika uongo. Sio ndio wangenipandisha ndege.
Labda hujui, wahamiaji haramu wanakuwa kimya sana hata wakionewa hawa lalamiki kwa sababu wanaogopa kurudishwa
 
Nina ndugu yangu wa damu akipitia hiyo changamoto,ni nental case kabisa
 
We kuwa na adabu basi afya yako isikupe kibuli kenge wewe,haya jawahi kukupata ,dawa yako nikukugeuza shoga tu kichawi ili uamini mazingaombwe yapo
Huyu mwamba allikua na story za kichawi ulaya, watu wamemkariri, saiv ana revoke statement zake na zinamtesa, Rudi kwenu Tanzania wapo wajinga wanaamini upuuzi wako kidogo utatulia ukikutana nao(sorry kukutukana)
 
IlLussion tu hizo,UK kuna blacks kibao,why,only you,??labda unafanana tofauti na binadamu wa kawaida,niamini una mental case
Unawajua weusi wote UK mpaka ujue kama hakuna wanaopitia kama yangu!
 
Ni mpaka usome komenti zote ndiyo utajua jamaa anaumwa nini yaani usiache hata komenti moja

Jamaa ana ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu
Hapo kwenye nyekundu nikikwambia unionyeshe ni wapi nimeandika pamekufanya unione nina ugonjwa wa kupoteza kumbu kumbu. Labda nitakuwa nina kuonea na hauta rudi! Ficha ujinga wako
 
Uku bongo atakuja kufanyaje..
Una mke/demu uko..
Mbishe unayopiga inalipa sawa..
Hama MTAA au komaa akuna nanma
 
Mbona njia ni nyepesi tu very simple oa dada zao wazungu tena wale brond hair na blue eyes hapo kazi imekwisha
 
Fafanua unamahanisha nini “hii ya hapa ni tofauti”!
Kesi yako ni ugonjwa wangetaka usingeweza hata kujibishana humu
Nenda hata private hospital ukatibiwe
Zipo top hospital Harley Street london ila bei zake uwe umejipanga haswa
Nilimpeleka mwanangu
Consultation tu ilikuwa £400
 
It sounds to me that you are suffering from mental illness. Please seek medical care
 
It sounds to me that you are suffering from mental illness. Please seek medical care
Mimi ni genius....kiukweli huyo jamaa ukimsoma kwa makini hana tatizo linalo kwenda kuongezeka la akili la kusababishiwa ....yapo matatizo ya akili ya kusababishiwa kisaikoloji ..wanao kusababishia wanaweza kuwa wamekusudia kukusababishia kwa sababu mbali mbali hao adui zake anao wasema inaonekana wamesha mjua udhaifu wake ulipo ndiyo hapo kwenye sailojolia ...niukweli kuwa jamaa anao watu awampendi na silaha wanayo tumia inaitwa SELFDESTROYER....
Mfano jamaa ameshindwa kujua kwanini wale madoctor walitaka kumuoji hakiwa chumbani kwake ? Kuna kitu walikuwa wanachunguza bila ya yeye kujua.
 
Rudi home utibiwe mkuu ushapigwa jini baya sana.....

Wazungu hawana ubaguz huo sema wew ndo upo na shida mkuu may be Black magic inakusumbua.......
Wazungu hawana ubaguzi huo?

1. Uingereza kuna = xenophobia immigrants wanachomewa maduka na kupigwa lakini serikali haioneshi kufanya lolote.

2. Spain na netherland = kuna black face wakiificha kama sherehe za kuwakumbuka MOORs na msaidizi wa santa claus .

3. Ni mwaka ambao Tanzania ilizaliwa kutokana na muungano wa Tanganyika na zanzibar na nyerere alikuwa na umri wa miaka 42 pekee pindi ambapo Marekani iliacha ubaguzi wa dhahiri zidi ya watu weusi .
 
Hii issues ilianzia nilipokuwa nina fanya kazi hospitali. Kutokana na matendo ya baadhi ya wafanyakazi wengine na pia kilichotokea simu ya mwisho ndio kili confirm nilichokuwa nina hisi kinaendelea na kilichangia mimi ku resign. Hata nilishauriwa nisi resign nani fight. Na pia nikashauriwa mambo kama haya hayawezi kwenda away. Lakini kwa upende wangu nikaona bora nitafute kazi kwenye nhs trust nyingine kuliko ku fight hapo hapo.
But I was wrong and alikuwa sawa. Yaliyonifanya ni resign yakaendelea kuniandama. Labda kuna kitu alikuwa anajua kilichomsukuma kunishauri hivyo au it was due to the behaviour of bullies often follows a pattern: if their actions go unaddressed, they may escalate to more severe forms of harm.
Nina amini kuna kikundi cha watu ambacho kina organize haya mambo dhidi yangu. Na nimekuwa nina jiuliza swali ambalo pia baadhi ya watu walishaniuliza. Why me? To be honest I’m not sure. Nina sababu nyingi kichwani kwangu lakini zinaweza kuwa tofauti kabisa na kilichowanya kuni attack mimi. Moja ya sababu niyohisi ile hospitali niliyokuwa nina fanya kazi kilichokuwa kinaendelea hasa kilichotokea siku mwisho dhidi yangu, kwa kiasi fulani labda kili backfire.
Kwa clinicians ku amini mtu amezidiwa due to some sort of someone else bad spirit. Ni big deal hasa kwente hospital ambayo ina top consultants in the UK.

Sasa kujibu swali lako la “kwa ujumla sioni daktari aje kwako kikazi hakujui wala humjui zaidi ya kazi yake aje kukuundia stori”. Nilipopewa taarifa kwamba huyu doctor anakuja niliuza anakuja kufanya nini. Niliambiwa kwamba anakuja because I have been experiencing what feels like a sharp needle pain or electrical shock sensation.
Hii nilikuwa nimeshalalamika kwa doctor wangu wa miaka mingi tangu August 2023 ili tatizo lilipoanza. Na baadae niliweka wazi kwamba nina amini ili tatizo linatokana na hao wanao eneza imani potofu. Na pia nilisema kwamba nita badilisha mazingira yaani kurudi Tanzania na kama litaendelea huko Tanzania ndio nitafanya vipimo vingine kama MRI.
Nikiangalia hii report na jinsi alivyokuwa anauliza maswali naona kama walivyokuja kunitembelea walikuwa na majibu fulani tayari na pia labda ilikuwa sababu walitaka ifanyike chumbani watu wengine wasingeweza kusikia.
Na pia wakati anafanya assessment ilikuwa ni ya haraka haraka na ilifanyika muda mfupi. Saa nyingine kabla sijamaliza kujibu alikuwa amesharukia swali lingine.

Hii issue ya kulogwa kwamba nilimwambia. Kitakacho fuatia kama bado, watasema mimi ndio nilileta hayo mambo hapo hospitaali na ku influence wengine. Wakati mimi ndio nilikuwa bullied kutokana na imani za watu wengine. Halafu kilichonipa hasira zaidi, siku za nyuma kuna kikundi kama walikuwa wanataka kinilisha maneno hayo hayo kiaina and I was not happy with them. Na sehemu iliyotokea huo ugomvi ndio hao hao waliorganise hawa doctor kuja.

Baada ya hii report niliongea na huyu doctor aliyeandika report kwenge simu na pia nilimtumia email. Akawa ananiambia atabadilisha. Nika mjulisha kabisa kwamba nita faili malalamiko. Na sikubaliani na yeye kubadilisha tu. Kwa sababu ni kwanini ameandika hivyo in the first place.
Baada ya ku file complaint. Nilikuwa nina tegemea labda aniruke aseme nilisema. Lakini bado awajawasiliana na mimi. Ingekuwa ameniruka ingekuwa rahisi kwao kunijibu lakini kukaa kimya nilazima atoe maelezo ni kwa nini alindika hivyo.

Leo nimepiga simu fuatlia malalamiko yangu, aliyepokea alishangaa kwa nini bado hawaja nijibu mpaka sasa hivi akasema atafutilia.

Mimi nilishawahi fanya kazi kwenye mental health settings. Ninaelewa impact ya kukataa hauna tatizo jinsi litakuathiri wewe binafsi. Halafu kwa hapa UK kwa wengine kuwa diagnosed with mental health ni deal. Utaishi bure na nyumba bure.
Mimi miaka ya nyuma sana,I went to see my doctor about my mental state back then na alinisaidia. Sikulazimishwa na mtu yoyote. Pia miaka ya karibuni niliomba nifanyiwe assessment kama nina any disabilities nani nilikuwa kinganganizi lakini ilipotezewa kiaina. Na hii ni mimi mwenywe nilienda binafsi bila kushauriwa na yoyote yule.

Kwa mtanzania yoyote hii ni big issue hata baadhi ya wazungu. Labda kwa sababu nilishafanya kazi kwenye mental health ndio imenifanya kutokuwa mgumu. Kwa hihi inakupa picha mimi sio mbishi ki hivyo.
Watanzania ili neno “metal health” tumekuwa tunalitumia kirahisi. Kila mtu akitofautiana nae kioja kwao jibu rahisi ni kichaa. Tanzania kila mtu psychiatrist na JF wapo kibao. Mtu nimeandika maneno machache hapa tayari wamesha ni diagnosed…Pathetic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…