Tetesi: Yanayosemwa kuhusu rais wa nigeria mohamed buhari je ni kweli?

Tetesi: Yanayosemwa kuhusu rais wa nigeria mohamed buhari je ni kweli?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Jamani hizi conspiracy theories juu ya rais buhari wa Nigeria ni kweli na vipi kuhusu huyo RAIA wa Sudan anayehusishwa nae wajuvi wa mambo njooni !!
 
Jamani hizi conspiracy theories juu ya rais buhari wa Nigeria ni kweli na vipi kuhusu huyo RAIA wa Sudan anayehusishwa nae wajuvi wa mambo njooni !!
Hakuna ukweli wowote. Jubril Al Sudani hajawahi kuwa Buhari. Hizo ni propaganda za waibo zikiongozwa na kupikwa na Nnamdi Kanu wa IPOB (Indigenous People of Biafra).
 
Kiuandishi hutakiwi kumuacha mtu hewani...unataka ujibiwe swali lako. Wengi hatutaweza kukujibu kwa sababu hujaambatanisha theory yenyewe. Huenda ziko nyingi sana.

Buhari na Boko Haram
Buhari na ufisadi
Buhari kama pandikizi la magharibi
Buhari n.k
 
Back
Top Bottom