Hakuna ukweli wowote. Jubril Al Sudani hajawahi kuwa Buhari. Hizo ni propaganda za waibo zikiongozwa na kupikwa na Nnamdi Kanu wa IPOB (Indigenous People of Biafra).
Kiuandishi hutakiwi kumuacha mtu hewani...unataka ujibiwe swali lako. Wengi hatutaweza kukujibu kwa sababu hujaambatanisha theory yenyewe. Huenda ziko nyingi sana.
Buhari na Boko Haram
Buhari na ufisadi
Buhari kama pandikizi la magharibi
Buhari n.k