Yanayotokea CHADEMA, ni wazi CCM inayo miaka mingine 100 ya kutawala

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
6,822
Reaction score
4,034
Moja ya agenda kuu ya Msomi Lissu ni kuhakiksha chama kinaendeshwa kama taasisi badala ya chama kutegemea mtu mmoja ambae kimsingi ni huyu Mwenyekiti wa sasa Mzee Mbowe.
Kinachosikitisha ni matusi na kejeli toka kwa mchawa wanaomuunga mkono mzee Mbowe kuonyesha sura halisi ya kuwa huyu mzee Mbowe yeye ndio chama na chama ni Mzee Mbowe.

Kwa mantiki hii ,watanzania watasubiri sana kuweza kupata chama ambacho kinao muundo wa kuweza kushika dola.
Poleni sana watanzania wenzangu.
 
Chadema huku kwa Wana democrasia spana kama hizo ni jambo la kawaida sio sawa na ccm wanasema zidumu fikra za mwenyeketi
 
Moja ya agenda kuu ya Msomi Lissu ni kuhakiksha chama kinaendeshwa kama taasisi badala ya chama kutegemea mtu mmoja ambae kimsingi ni huyu Mwenyekiti wa sasa Mzee Mbowe.
Kinachosikitisha ni matusi na kejeli toka kwa mchawa wanaomuunga mkono mzee Mbowe kuonyesha sura halisi ya kuwa huyu mzee Mbowe yeye ndio chama na chama ni Mzee Mbowe.

Kwa mantiki hii ,watanzania watasubiri sana kuweza kupata chama ambacho kinao muundo wa kuweza kushika dola.
Poleni sana watanzania wenzangu.
We mjinga Upinzami sio Chama,Upinzani ni Ideology, rudi shule ulio soma au Chuo waambie wakurudishie ada zako make zilienda bure.
 
Hamna lolote chawa wa cmm ndio mnawashwa na mambo yasiowahusu
 
We mjinga Upinzami sio Chama,Upinzani ni Ideology, rudi shule ulio soma au Chuo waambie wakurudishie ada zako make zilienda bure.
Eti hili nyumbu ndo limejibu hoja hapa lenyewe halafu lisivyojielewa linataja 'usomi'. Kwa Hali hii mleta mada anazidi kupata ushahidi wa alichokisema kuhusu utawala wa nchi hii.
 
Hiyo miaka 100 itatawala ng'ombe, kondoo, mbuzi, au nyumbu? Kama ni binadamu, basi sahau. Niamini mimi, muda utakapofika hiyo ccm itaondolewa na wananchi! Na siyo Chadema.
 
Moja ya agenda kuu ya Msomi Lissu ni kuhakiksha chama kinaendeshwa kama taasisi badala ya chama kutegemea mtu mmoja ambae kimsingi ni huyu Mwenyekiti wa sasa Mzee Mbowe.
Kinachosikitisha ni matusi na kejeli toka kwa mchawa wanaomuunga mkono mzee Mbowe kuonyesha sura halisi ya kuwa huyu mzee Mbowe yeye ndio chama na chama ni Mzee Mbowe.

Kwa mantiki hii ,watanzania watasubiri sana kuweza kupata chama ambacho kinao muundo wa kuweza kushika dola.
Poleni sana watanzania wenzangu.
Vyama vipo 19 kama CHADEMA haifai kwa nini unaing'ang'ania? Pia unaweza anzisha chama chako ili kifanye hayo unayoona inafaa.

Pili, Lissu amekuwa sehemu ya uongozi wa juu tena very influential hapo CHADEMA, hivyo anahusika sana kuifanya chama hicho kiwe jinsi kilivyo. Ila nchi hii wajinga ,ni wengi na wanaaminishwa kuwa Lissu hahusiki.

Kwa akiil ya kawaida tu Lissu unadhani hajawahi kupropose kitu halafu wajumbe wakakipitisha.

Nne, wakati huu ni wa kampeni hivyo matusi, kejeli na ushawishI toka kila upande haukwepeki.

Tano hakuna chama nje ya CCM kinachoweza kushika dola katika uhai wetu huu kwa sababu kwanza huwa hakuna uchaguzi kuna geresha ya uchaguzi. Zamani CCM ilihangaika kuiba kura wakati wa uchaguzi lakini kuanzia mwaka 2919 kabla ya siku ya kupiga kura CCM inakakaa mezani na kupanga kwa kushirikuana na Maaafisa usalama, MaDC, MaDED na maOCD kuamua ushindi wa nezani kwa CCM unaozidi asilimia 60 hivyo wanakuwa wamejihakokishia ushindi hata kabla ya kupiga kura.. kisha siku ya uchaguzi wanafanya umafia tena wa kura bandia na kutomtangaza akiyeshinda ikiwa ni mpinzani, then wanawaachia nafasi kiduchu wapinzani tena wale wanaojua ni vibaraka wanaweza kuwatumia baadae na pia kuhadaa dunia kuwa kuna demokrasia.

Mwisho Lissu kama walivyo wanasiasa wote kwa sasa katika nchi hii tofauti na Kenya na kwingineko, hawana watu nyuma yao wana mashabiki wa kwenye key boards tu.Hata siku moja key boards warriors hawawezi kushinikiza mabadiliko.

Subiri kizazi cha wanaozaliwa kuanzia miaka ya 2020 wakiwa watu wazima ndio labda walete mabadiliko sio hizi maiti za sasa ( in Late Kenyatta' words,)
 
Back
Top Bottom