Yanayotokea kenya yalitabiriwa na jommo kenyata

Yanayotokea kenya yalitabiriwa na jommo kenyata

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Posts
13,403
Reaction score
12,775
"My Fellow Kenyans, I may not have done you the best things, but MAMA NGINA has helped me do it for you!! You all know, I dedicate all my youthfulness to fight the white butterflies out of the ridges and valleys of Kenya and purposely today Kenyans are free!! It’s because of this long-awaited freedom, that I have decided to dedicate this wonderful gift given to you by Mama Ngina to the Kenyans!! His name shall be UHURU. I tell you today, even when I am gone, it is this freedom (UHURU) that will take you to the promised land!" - Jommo Kenyata.
 
Attachments

  • Uhuru.jpg
    Uhuru.jpg
    24.1 KB · Views: 211
Mungu anatisha

anatisha kwa lipi, la mtoto wa rais kutawala. Na familia ya akina Bush Marekani itasemaje

Babu yao prescot ndiye mwanzilishi wa CIA
Baba akawa vice president na President
Mtoto kawa gavana na Rais kwa 8 years
Mtoto Mwingine (Jeb Bush) alikuwa gavana na anataka kugombea urais 2016 na tayari mwanaye ni commissioner wa ardhi
 
Old Wise men have their ways of seeing what we dont see or sense
 
anatisha kwa lipi, la mtoto wa rais kutawala. Na familia ya akina Bush Marekani itasemaje

Babu yao prescot ndiye mwanzilishi wa CIA
Baba akawa vice president na President
Mtoto kawa gavana na Rais kwa 10 years
Mtoto Mwingine (Jeb Bush) alikuwa gavana na anataka kugombea urais 2016 na tayari mwanaye ni commissioner wa ardhi

Urais 10 years Marekani? haiwezekani.
 
we mjinga kweli, una quote kisha unabadili content

Sawa Mkuu wewe nitukane tu kwa nini usiwe muungwana tu, angalia mimi nimepost saa ngapi na wewe umeedit saa ngapi post yako?, nimepost saa15h42 na wewe baada ya kustukia ukakimbia kuedit saa 16h04. Kwa hizi technolojia ni ngumu sana kudanganya.
 
anatisha kwa lipi, la mtoto wa rais kutawala. Na familia ya akina Bush Marekani itasemaje

Babu yao prescot ndiye mwanzilishi wa CIA
Baba akawa vice president na President
Mtoto kawa gavana na Rais kwa 8 years
Mtoto Mwingine (Jeb Bush) alikuwa gavana na anataka kugombea urais 2016 na tayari mwanaye ni commissioner wa ardhi

Kwa hiyo MUNGU Hatishi??????
 
Mkuu Utingo km kumbukumbu zangu hazijakaa vibaya Mwasisi wa CIA ni Ret. Major General William J. Donovan ambapo kabla ya kua cetral Agency iliiperform as Office of Strategic Services.
 
anatisha kwa lipi, la mtoto wa rais kutawala. Na familia ya akina Bush Marekani itasemaje

Babu yao prescot ndiye mwanzilishi wa CIA
Baba akawa vice president na President
Mtoto kawa gavana na Rais kwa 8 years
Mtoto Mwingine (Jeb Bush) alikuwa gavana na anataka kugombea urais 2016 na tayari mwanaye ni commissioner wa ardhi

Nice one,,,,sijui kwanini wanaona,,Kenya tuu,,,ambapo mtoto wa rais akatawala.

Hata India,,Pakistan,,na kwingi kuingine,,,,,,,,,,, duniani.
 
Urais 10 years Marekani? haiwezekani.

Jamaa ulimstua akakimbia mbio kwenda ku-edit!!! Halafu hili jamaa halina aibu eti linakubishia kwamba wewe ndo umelibadilishia maelezo kwenye post ya lenyewe?? Utajificha wapi jamaa wanaweka mpaka muda wa ku-edit!!
 
Back
Top Bottom