Tetesi: Yanayotokea Nigeria je kama ni kweli imekaaje kisheria

alexis jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2014
Posts
393
Reaction score
343
Habari wakuu,

Nimeona habari(conspiracy) inayosema raisi wa Nigeria Buhari amefariki na aliyepo sasa si yeye ni mtu anaefanana nae (clone ) ambae ni raia wa Sudan aitwae jubril . Je kisheria kama madai hayo ni kweli kisheria imekaaje. Naomba kuelimishwa
 
Mimi kama 'mwanasheria wa vichakani ' sioni kesi kwa kutazama vifungu mbalimbali vya katiba ya Nigeria.
 
porojo tu, huyo jamaa amejaa sana pia kuthibitisha hilo ni kumuuliza stori za zaman enzi anapindua nchi mara ya kwanza. stori za shule na harakati nyingine akimbwela bwela ni kupiga chini.

ila siwez amini maana sioni umuhimu wa kufanya ivo
 
Na ukiwa double unatakiwa kujua mengi ya kuhusu muhusika mwenyewe
 
Na ukiwa double unatakiwa kujua mengi ya kuhusu muhusika mwenyewe
mkuu utajua mengi ila ya kusimuliwa ila yale ya ndani huwezi jua labda ulikuwa na kamchepuko ka siri unakajua ww na frend wako wa karibu ukiulizwa ww mtu mpya huwez jua
 
Wakumbuke Raisi Buhari amepitia misuko suko ya magonjwa but kwa sasa anaendelea vizuri hivyo lazima mwili uonekane tofauti
 
wakamclone hadi sauti na mpangilio wa meno? acheni ujinga
 
swali langu ni kwamba kwann mada ya msingi kama hii haina wachangiaji. ila ukileta MADA kuhusu ukristu wanakuja kama wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…