Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Indonesia ilikuwa na utawala uliojulikana kama New Order ulioendeshwa na Rais Surharto. New Order ili sumu madarakani kwa miongo mitatu, watawala walikuwa wamepumzika na hawakuangalia tena matatizo ya wananchi walala hoi.
Mwaka 1998 upinzani ulifanya campeni ya nguvu. Pamoja na New Order kuwa na jeshi, polisi na Usalama wa Taifa, ushindi wa upinzani ulikuwa mkubwa mno.
Mabadiliko makubwa ya kiutawala yalifanywa na Upinzani ulipingia madarakani. Haiku’s kazi rahisi na walipitia mwaka mzima wa mtikisiko wa kuichumi. Baada ya hapo mpaka sasa hali ya siasa a uchumi iko shwari.
Manopenda kusoma zaidi nendeni Wikipedia msome history ya Indonesia.