Yang Feng Glan "The Queen of Ivory"

Analyse

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Posts
17,637
Reaction score
47,413
Nilipata mshtuko mkubwa nilipokutana na hii habari hapo jana. Nikajaribu kuitafuta humu JF ili niisome kwa kina ila sikufanikiwa kuiona. Nimeona ni iilete ili tuweze kuitizama kwa pamoja. Kama ipo baai Mods wataiunganisha.
Kitendo cha yeye kukiri kosa moja kwa moja kinawafanya wahusika wengine wasitajwe. Kwa hii biashara jinsi ilivyo haiwezekani akose assosiates. Sitaki kuamini ni kweli yupo peke yake.
 
Huyu Bibi kwa picha anaonekana hivi
 
Attachments

  • 1444664375137.jpg
    9 KB · Views: 467
  • 1444664388678.jpg
    10.7 KB · Views: 668
  • 1444664400541.jpg
    22.7 KB · Views: 355
Dah. Hiyo story imekaa vibaya sana kwa CCMscrow. Kumbe ni changa la macho uchaguzi upite?

Na kweli maana ni juzi tu tumeongelea kuhusu twiga wetu wazuri kutoroshwa, mara malkia wa ndovu anakamatwa!!

CCMscrow out!!
 
Kama sheria ingekuwa inambana ataje washirika wake,basi nadhani tungeyasikia majina ya wakubwa humo
 
hiyo ni siasa tu, ya kutafutia kura, we ngoja uchaguzi uishe, utasikia ameshinda case na anatakiwa kulipwa fidia kuws amedharirishwa!!

Atashindaje kesi wakati ameshakiri kosa?.
 
Atashindaje kesi wakati ameshakiri kosa?.
unakuwa kama we ni mgeni wa nchi hii??! yule wa ulimboka ilikuwaje hatima yake? kwanza utasikia yupo nje kwa dhamana, amini hilo wale wale wa twiga hadi leo walishawakamata? baada ya kupewa dhamana?! tuombe uzima na huu uzi nina utunza.
 
Tuombe uzima,but i dnt think that government leaders are that blind and fool
 
Tuombe uzima,but i dnt think that government leaders are that blind and fool

With all due respect, they are blind and fools. Wa twiga walitoroka na hakuna jitihada zozote kuwapata.

Ch'kua hii.......
Raisi anawajua wauza unga na hajachukua hatua miaka karibu 10. Vijana wetu wanaangamia kwa maelfu. Muone Ray C leo hii, Mangwea (RIP), etc. Na hao ni high profile. Huku mitaani kila familia yenye uwezo ni wahanga wa haya madawa.
 
Ili tukio ndio tutazidi kuwapima akili zao. Lakini ili tuweke mambo sawa,basi tunahitaji kufanya maamuzi sahihi ifikapo 25th October
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…