Yanga 0 Tusker 0

macinkus

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2007
Posts
260
Reaction score
21
Hivi Sasa Ni Mapumziko, Hadi Sasa Bado Kufungana

Macinkus
 
Dakika ya 66 Yanga 0 Kinywaji cha Tuske 1
 
Dk ya 89, bado ngoma nzito kwa Yanga japo anashambulia mwaikimba Off side
 
Yanga wamepata Faul kwenye semi circle Nurdin Bakar amekosa
 
Yanga wamepata kona wamekosa
 
Ngoma imelala, Yanga nje, atakutana na Mnyama Jumapili mshindi wa 3. Yanga na Simba hawachekani. Baba yao ni mmoja ambaye ni JMK


Yanga 0 Tusker 1
 
Ngoma imelala, Yanga nje, atakutana na Mnyama Jumapili mshindi wa 3. Yanga na Simba hawachekani. Baba yao ni mmoja ambaye ni JMK


Yanga 0 Tusker 1
Hii mbaya..kuna mkono wa mtu tu ..tutakuwapo Jumapili kushuhudia
 
Kaaz kweli kweli yaani na sisi nje!!!! Haya mnyama tunamngojea tumpe kilicho chake!!!
 
Kanda2 poleni mwe! mlichonga sana jana.........
 
wale makocha wa nne wazungu wa yanga hawakuwepo nini.........ndio tatizo la kuchukua mzungu ni mzungu hata kama kwao walikuwa mafundi uashi wanajipakazia ukocha..ukiuliza cv zao ugomvi!!!
 
pole wana yanga
mume kafa na ukimwi mke je?
wana yanga juma2 msije kufukuza wachezaji tena kipigo kipo palepale tena cha nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…