Hahaha... we kolo hata mechi haijaanza umeshaanza kulalamika??? Tulia uone kabumbu Safi la wananchi na ushindi usio na figisufigisu km ule wenu wa janaUtopolo huu muamala ni point 3 tu au na idadi nzuri ya magoli?
We acha masikhara basiNi goli biashara wanaongoza
Anawaza afcon kipa wetuDiara the screen protector
Ilikuwa bonge la counterWanakoswa koswa lingine hapa Uto...