Mitopolo ... bora KabwiliDiara the screen protector
Unaangalia na ttcl internet mkuu?Yanga inapata kona hapa ebu tuone
WatachomoaHii mechi ni ngumu sana kwa yanga
Utajua hujui,, utopolo waheed!!!Naona kenge wamefungua uzi wanajibishana wao kwa wao
He mara hiyo😮Bora makambo kuliko huyu manyele